Exemplu de cautare: Depeche Mode  

Adauga versuri Noi Videoclipuri Muzica Jocuri Online Imagini Desktop si Restaurante Cautari versuri

Versuri Unknown - L Reina!

Versuri-versuri.ro > Versuri Litera U > Versuri Unknown > Unknown - L Reina!
Videoclipuri Unknown L Reina!
Loading...


KiSwahili

(verse:1)

Ee Mungu nguvu yetu

Ilete baraka kwetu

Haki iwe ngao na mlinzi

Natukae na udugu

Amani na uhuru

Raha tupate na ustawi.

(verse:2)

Amkeni ndugu zetu

Tufanye sote bidii

Nasi tujitoe kwa nguvu

Nchi yetu ya Kenya

Tunayoipenda

Tuwe tayari kuilinda

(verse:3)

Natujenge taifa letu

Ee, ndio wajibu wetu

Kenya istahili heshima

Tuungane mikono

Pamoja kazini

Kila siku tuwe na shukrani

Sent by Carlos Andr Pereira da Silva Branco

Top 10 albume pe versuri-versuri.ro
  1. Biagio Antonacci
    Nume Album : 9/NOV/2001
  2. Pittsburgh Steelers
    Nume Album : 2003 Version
  3. x charger
    Nume Album : Unknown
  4. x charger
    Nume Album : Unknown
  5. Michael Bublé
    Nume Album : Come Fly With Me