Versuri - Versuri.ro
Versuri melodii artisti internationali
Versuri Hep Stars - MALAIKA (Angel)
Versuri-versuri.ro > Versuri Litera H > Versuri Hep Stars > Unknown - MALAIKA (Angel)Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa kidege
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa kidege
Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Ningekuoa Malaika
Nashndwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
ANGEL
Angel, I love you angel
What should I do, your lover
I am defeated by money
I don't have any
I would marry you, angel
Money is troubling my soul
Little bird
I always dream of you little bird
This remains one of the Hep Stars' fans
favorite songs. There are many inaccuracies
in other versions out there, these are the
correct and complete lyrics. The Hep Stars
didn't sing all the verses. Thanks to the
Kamusi Project for the lyrics and translation
- 2Pac
Nume Album : 2Pacalypse Now - George Strait
Nume Album : Livin' It Up - Mouth Cowboy
Nume Album : Are You With Me - Prozak
Nume Album : Various songs / Unsorted - Jude
Nume Album : 430 N. Harper Ave.